Msaada na Mawasiliano

Tuko hapa kukusaidia masaa 24/7

Tunawezaje kukusaidia leo?

Chagua njia bora ya kupata msaada au kutoa maoni yako.

Fungua Kesi / Tuma Ujumbe

Jaza fomu hii ili kufungua chati ya msaada WhatsApp yenye taarifa zako sahihi.

Njia Nyingine za Mawasiliano

Pigia Simu Support

+255 764 375 173

WhatsApp Channel yetu

Pata taarifa zote mubashara

Barua Pepe (Email)

support@barakazetu.com

Anwani ya Kisheria (Legal Address)

Mlimani City Office Park, Block A, Barabara ya Sam Nujoma, Dar es Salaam, Tanzania

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

BarakaZetu ni nini?

Ni jukwaa nambari moja la muziki wa kiroho linalowaenganisha waumini kupitia Injili, Qaswida, Mahubiri na Redio Mubashara.

Jinsi ya kupakua nyimbo?

Pakua app yetu ya Android au iOS ili kuweza kuhifadhi nyimbo na kuzisikiliza bila mtandao (Offline Downloads).

Nawezaje kujiunga kama msanii?

Nenda kwenye 'Artist Studio' ndani ya app yetu na ujaze fomu ya maombi ya kujiunga.

Je, naweza kuripoti wimbo unaokiuka hakimiliki?

Ndio, nenda kwenye ukurasa wetu wa Kisheria (/legal) na ujaze fomu rasmi ya DMCA Takedown.